<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>118</hymn_number>
<lyrics>[V1]
 Ni ujumbe wa Bwana, Aleluya!
 wa maisha ya daima,
 Amenena mwenyewe, Aleluya!
 Utaishi ukitazama.

[V2]
 Tazama, ishi sasa!
 Kumtazama Yesu,
 Amenena mwenyewe, Aleluya!
 Utaishi ukitazama.

[V3]
 Ni ujumbe wa wema, Aleluya!
 Nawe shika, rafiki yangu!
 Ni habari ya raha Aleluya!
 Mwenye kuinena ni Mungu.

[V4]
 Uzima wa daima,Aleluya !
 Kwake Yesu utauona.
 ukimtazama tu, Aleluya!
 Wokovu u pweke kwa Bwana.</lyrics>
<title>Ni ujumbe wa Bwana TZR118</title>
</song>